Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji81][emoji81] wala hata. Uko poa lkn??Unahofia watunzi wa Hadith.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji81][emoji81] wala hata. Uko poa lkn??Unahofia watunzi wa Hadith.
Yeah nipo sawa kabisa.[emoji81][emoji81] wala hata. Uko poa lkn??
Niko poa sana mshkaji wangu.Yeah nipo sawa kabisa.
Thjui huko ulipo ?
Bado upo mkoa ?😁Niko poa sana mshkaji wangu.
Ndio. KaribuBado upo mkoa ?[emoji16]
Nije kuuwawa sio ?Ndio. Karibu
Hizi tabia zote kama zangu zoteeMimi nikikusalimia mara mbili tatu afu wewe ukinikuta hunisalimii mpaka nikuanze utahisi Mimi ni mtu mmoja nna dharau sana .....yaani nitakavyomute hutakaa uamini.....siwezi kujipendekeza hasa kazini ila mzigo napiga hasa ...... Utakavyonijia ndivyo nitakavyo kutreat ukija na dharau unakutana nayo ukija mnyeyekevu na Mimi ntakunyeyekea.....watu wameniharibu Tabia.....
[emoji23][emoji23] na nani?Nije kuuwawa sio ?
😁 Sumu by Ally Kiba.[emoji23][emoji23] na nani?
Hamna bwana. Basi nikuje mimi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji16] Sumu by Ally Kiba.
Access granted✅.Hamna bwana. Basi nikuje mimi[emoji125][emoji125][emoji125]
Nacheka sana, Nina masihara...siwezi kufoka foka.Inamaana wewe ni mpole sana..
Tabia hiyo hua mnaifanyia wanaume wa dar. Vunja vitu vyangu nikutengue nyongaBora wewe😂
Mimi navunja vitu aisee, naweza Hata kukurushia kitu ukaumia baadae ndio nitajutia😒
unajiendekeza tuuMimi natamani niache kutamani wanawake wengine nibaki na mke wangu tu lakini nmeshindwa, nilikuwa najua nkioa nitatulia na mke wangu kumbe waap! nilijidanfanya kumbe
But mke wangu anasema mimi mpole sanaa hasa kwa vijana wangu wa kazi...Watu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn