Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mm nakatabia kakutopenda kabsa marafiki wa kunigandaganda urafiki ni mtaani kwangu marufuku kukaribia hata ukiitaji ntakukwepa vibaya mno.but ndugu zangu na wa wife ruksa kuja anytime hata bila taarifa
 
Kukasirika siwezi kukasirika mdamrefu sijui kukasirikia wanaonikwaza kunawakat nachukua sana baada ya mda naona normal tu natmni nikaushe mazima ila siwezi sijui nilitak kuwa msukule 😀😀
 
Kukasirika siwezi kukasirika mdamrefu sijui kukasirikia wanaonikwaza kunawakat nachukua sana baada ya mda naona normal tu natmni nikaushe mazima ila siwezi sijui nilitak kuwa msukule [emoji3][emoji3]
Njoo nikufundishe kukasirika mazima.
 
Kuwa nakula halafu ghafla tu nahisi uvivu kuendelea kula. Naachaga sana msosi kwenye sahani
 
Haaahaaa umenichekesha sana mkuu
 
Mimi nina tabia ya kupenda kutongoza, siwezi kukaa a mwanamke dakika tatu nisimtongoze na sio kama nawapenda au navutiwa nao kingono najikuta tu naanza kuwatongoza tena natongoza nikiwa serious.

Hakuna mwanamke mpya anayekuja kazini nisimtongoze. Mimi ndio huwa wa kwanza kumtongoza

Hii imekuwa tabia mbaya ambayo nimeshindwa kuiacha hata nikidhamilia kuacha kabisa kupenda kutongoza, najikuta nimeshatongoza bila kukusudia. Sasa hivi hapo kazini wanawake wote hawanitaki na wananiita malaya la kila mwanamke mpya akija, wanamuwahi kumwambia mangi chogo akikutongoza usimkubalie kwani ni malaya na amemtongoza kila mwanamke anayefanya kazi hapa.

Naombeni ushauri nifanye nini ili niachane na hii tabia kwani inanikosesha fulsa nyingi sana. Inatokea nikampenda kweli mwanamke lakini kwa hii tabia yangu akiisikia huwa wananitolea nje kikatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…