Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaye lala naye kazi anayoKupumua while sleeping 😀😀😀
Njoo nikufundishe kukasirika mazima.Kukasirika siwezi kukasirika mdamrefu sijui kukasirikia wanaonikwaza kunawakat nachukua sana baada ya mda naona normal tu natmni nikaushe mazima ila siwezi sijui nilitak kuwa msukule [emoji3][emoji3]
😂😂😂Mara moja tunimewah mtunalinikera Zaid ya miaka 6 ndo nikakasirika hata sikuchukua alivonisalimia tu basi Kam sio Mimi 😀😀Njoo nikufundishe kukasirika mazima.
Tutakuombea.Flirting, nipe solution japo nishaanza kulifanyia kazi🤪
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu!!Tutakuombea.
How do you feel mtu akikuuzi?[emoji23][emoji23][emoji23]Mara moja tunimewah mtunalinikera Zaid ya miaka 6 ndo nikakasirika hata sikuchukua alivonisalimia tu basi Kam sio Mimi [emoji3][emoji3]
Nachukia lakini Sio Kwa namna kma walivo wengine ila nasikiaga maumivu tu moyoni najiulizaHow do you feel mtu akikuuzi?
Haaahaaa umenichekesha sana mkuuNifuate na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kutokuwa serious yaani muda mwingi natamani kuwa serious lakini ni ngumu. Hata iwe kwa jambo la serious kiasi gani.
Imefikia kipindi hata napotoa wazo huwa wanaona funny ila mpaka wakae kwa mda wafikilie tena.
Hii sasa imekua changamoto mpaka kwenye mahusiano maana mtu anashindwa kujua nipo serious na mahusiano au nafanya utani.
sijui itaachana nayo vipi'...?
Nimejaribu ila nashindwa narudi pale pale.
Mbele za watu hata niseme niwe serious kiasi gani, basi kila nacho kiongea kinapokelewa tofauti
Watacheka tuu.
haijawahi tokea nikaongea mbele za watu dakika chini ya dakika 3 wasicheke.
Na sio kwamba nayoongea yanachekesha hapana.. au nina muonekano wa kuchekesha hapana.. au lafudhi hapana.
Zamani nilikua napenda ila.kwa sas naichukia hii hali maana kuna sehemu naona tafeli 🤓🤓🙌
Pia wewe ñi muhanga wa hii tabiaHaaahaaa umenichekesha sana mkuu