Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
uvivu wa ajabu hasa kwenye kuamka asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unawahi kulala mapema kama huna shughuli ya muhimu.uvivu wa ajabu hasa kwenye kuamka asubuhi
Una upungufu mkubwa wa madini ya chuma.nakaa pemben nakata nazitenga pemben nikimaliza naanza kula moja moja
Nipe hiyo hela ya kununulia vocha nikufuatie chap😂Kaninunulie vocha kariakoo
Fanya uiache,Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu
Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Ni mimi kabisa aisee, muda wote nipo na furaha,sio kama najisifu ni hivyo nipo simple.Hiyo ni Tabia YANGU.
Siwezi kuwa serious. Na utani wangu ndio u- serious wangu.
Muda wote nachukulia mambo simple, rahisi na majibu rahisi kwenye mambo magumu.
Naipenda Hali na tabia Hii Kwa sabymuda mwingi 90% ninafuraha.
Maisha nayachukulia kama mchezo Fulani hivi ambao hauhitaji u- serious.
[emoji23][emoji23][emoji23]mie huyo.Utani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
Ni mimi kabisa aisee, muda wote nipo na furaha,sio kama najisifu ni hivyo nipo simple.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kung'ata kucha nashukuru now nimeacha maana ilikuwa too much,Nikiwa Niko idle au Brainstorming Niko na Tabia ya Kung'ata au kula Kucha mpaka Damu sometimes..
Mbona wengine tulikuwa tunamiandiko kuwazidi maticha[emoji23]sasa mimi kwa upande wangu sijajua ni tabia au ni weakness,Nina changamoto moja huwa inanitesa sana yaani nina mwandiko mbaya (handwriting) huwa naona aibu kuandika mbele za watu.Wakuu hii ni changamoto inayoweza kurekebishika ukubwani au ndio imetoka hivyo na hairudi!!!??(yaani kurekebisha mwandiko)
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu. Hii hali inanisumbua sana.Bora wewe mkuu mimi kutongoza huwa siwez labda mwenyew uingie kwenye point zangu swala la kutongoza huwa naona kama naishusha value yangu
Mimi kuvuta sigara chakula(Tungi).Nakerwa ila kuacha ngumu sana!Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
mimi bwana,nina penda pombe ya MNAZI,yaani ata kama nina pesa za bia naona bia kama maji tu,,,mimi mchaga lakini baada ya kuanza urafiki wa karibu na rafiki yangu patel wa pale kisutu,,,,niliupenda sana mnazi hasa tabia ya mnazi pale inapokuwa imetulia tumboni,tumbo linakuwa kama linajifinyajifinya hadi raha,,,,,,mimi naishi maeneo ya pugu mwakanga kwa ivo ikifika ijumaa tu naenda kwa ubanda wa mama semeni aua mama utajiju na kuana kulamba hiyo ki2,siku za kazi tunaenda na patel karibu na soko la kisutu pale karibu na ofisi ndogo ya ccm na gorofa la kizamani tunakaa sebuleni ka mama chupli{jina lake la utani huku tunaangalia filam za kidosi mpaka saa moja usiku nachukua bodaboda mpaka tazara then napanda mwakembe la kuelekea mpka mwakanga kuungana na waswahili wenzangu wa huko}''''''sasa tatizo linaanzia hapa,,,,ukinywa mnazi unaachia ushuzi sana na unatoka kwa muda mrefu so njia unazopita inatakiwa ziwe na vurugu au pilika iliukiachia ushuzi usisiskike kwa kweli tabia hii ya kuachia ushuzi inanikera sana ingawa kuacha mnazi ni ngumu,,,,,,ila tatizo litakalonilazimisha kuacha hii pombe nimabadiliko ya nywele,nywele zinakuwa kama sufi,,,huwezi amini mimi na patel nywele zinafanana kasoro mimi mweusi,,,,,kwa hii tabia ya nywele nauchukia mnazi!Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
Wewe ni mtu mwongo. Hiyo sio tabia ni dhambi.Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu
Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Mimi pia nina hasira ila nimebadili mfumo siku hizi.... badala ya kuwakiana na watu huwa navumilia na kuishia kuvunja mahusiano. Tangu mwaka 2020 nimepoteza watu wengi sana kwenye circle yangu ila namshukuru Mungu kuniletea watu wengine.Hasira, kwangu hili tatizo linanisumbua sana natamani kuwa mtulivu hata kwenye wakati mgumu ila nikishakuwa na hasira nakuwa mtu tofauti kabisa 😒
Mie dada wa kazi hata nimfokee hachukulii serious 🤣🤣🤣 Nikitaka nimseme serious hadi nialike watu wenye heshima zao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sisi team stress free,
Mpenzi wangu nikimwambia sikutaki tuachane, huwa haamini anajua niko kwenye utani.
Dada wa kazi kashanigeuza shogaake, likitokea jambo nyumbani atanipigia simu anaona km nitachelewa. Yani haniogopi kabisa eti, “Dada nna ubuyu umenikaba” 🤣🤣🤣🤣