Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

Kiutaalam ni tatizo la mtu siyejali matatizo ya watu wengine but kijamii tulivyozoea ni mtu asiyependa kujishughulisha na ishu za watu wengine, asiyependa jichanganya na watu Pablo Blanco
Hahaaaa!! Wewe anti social by nature?? Au ubize tu na mambo mengi?
 
Vipi una Demu??
 
Mimi ni mwembamba,nina kitambi kimeambatana na kibamia halafu nakoroma sana usiku.
 
Hahaaaa!! Wewe anti social by nature?? Au ubize tu na mambo mengi?
Nadhani by nature, sababu sipendi kaa maeneo yenye watu wengi unless ni lazima!. Vitu vyangu sipendi mtu avijue unless anahusika in a way kufanikisha!.
 
Ubishi, sinaga upande. Watu wengi wakiwa upande A mimi nakuwa B.

Na nikiwa sehemu nabishanaga na wale much know mpaka nawashinda, kwa hiyo mimi ndo nakuwa mtabe.

Akinishinda, narudi kutafuta points zaidi, siku tukionana tunaanzia tulipoishia.
 
Nadhani by nature, sababu sipendi kaa maeneo yenye watu wengi unless ni lazima!. Vitu vyangu sipendi mtu avijue unless anahusika in a way kufanikisha!.
Kwa upande wa mademu vipi?
 
Kuna kiwango.
Sasa Mtu kwa siku lazima apige tena sio chini ya tatu, yaani akiingia tu chumbani na kuvuta picha ya demu mkali, anapaka mkono mafuta. Ndio hawa wapole.
Mmmmhhh!!!! Ngoja tuwasubir waje watuambie ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…