ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 758
- 1,063
Kuzoeana na watu. Yaani ni salamu naanzishi zangu na napenda sn kukaa peke yng
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetamani nikujue hivi!!Ni Mkimya asiyenijua atahisi najisikia. Ni muongeaji lakin si kila mara inategemea na mood ya siku hiyo. Nina huruma mpk nakera
Niliwahi fungia demu ndani siku 2 bila kulaTukio gani la kikatili ushawahi Fanya?
Aiseee 90% tunarandana kitabiaMimi mkimya, ninahasira, nikikosewa naweza samehe lakini sisahau, mtu akininunia kwa sababu za kijinga sijishushi japo moyoni dhamira inanisuta kwa same he na kutoa kinyongo but kibinadamu siwezi,siwezi mzoea Mtu haraka, msiri wa kiwango cha juu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mpenda K, ebu muache huyo binti mkimya wa watu.
Mkuu, kausha basiWee mpenda K, ebu muache huyo binti mkimya wa watu.
Pablo Blanco unataka kunisocial engineer nini!? [emoji23][emoji23]Kwa upande wa mademu vipi?
Vipi baada ya hapo mapenzi yaliendelea ????Niliwahi fungia demu ndani siku 2 bila kula
Nahisi hili ndo la kawaida kuliko yote
Yaani wewe upo kama Mimi 100%Pablo Blanco unataka kunisocial engineer nini!? [emoji23][emoji23]
Hiyo sekta ngumu but i prefer kuwa msiri, ukinikuta nae utahisi ni rafiki tu oz im flirtin lots!...
Haiwezekani kitu ka io brooVipi baada ya hapo mapenzi yaliendelea ????
Kama nilivosema