Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

Mimi mkimya, ninahasira, nikikosewa naweza samehe lakini sisahau, mtu akininunia kwa sababu za kijinga sijishushi japo moyoni dhamira inanisuta kwa same he na kutoa kinyongo but kibinadamu siwezi,siwezi mzoea Mtu haraka, msiri wa kiwango cha juu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unpredictable One ..Maana naweza kua mcheshi busara with sense of Humour nikiongea mpaka unasema YES ......

ila nikibadilika Unaweza Juta hata kunijua tu.
 
Back
Top Bottom