chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
pande zingine zote ukiachana na suraMiss katika pembe ipi, kama sura hatujuani.
hawa wote nina uhakika nao ni waremboKuna nyamela ametajwa sehemu isiyo yake hapo
Hii list yako umezingatia nini hasahawa wote nina uhakika nao ni warembo
nimezingatia vitu vingi ambavyo kwa pamoja vinaunda personality ya kila mojaHii list yako umezingatia nini hasa
Tafuta kazi jombisJF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
na atashinda taji la u miss, halafu watu watajazana pm kwake wakijua ni pisi hivyo kila mmoja akibahatisha bahati yake yakujinyakulia miss jf... huko baadae itakuja kuwa kesi kubwa sana, wengine watalishikiria kama bango la umbea ama kukosa maadili, hapo ndipo kunaweza kusimama bango la upinde, litapigiwa kelele lakini atakuwepo mtu mmoja atakuwa kajikalia kwenye kona akilia kwa kwikwi baada yakutapeliwa na miss and mr jf...😅Kuna mwanaume atawekwa kwenye list hapo kwa kudhaniwa ni mwanamke.!!
Six among them are Men.....🫢JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
mbona bby wako umemsahau? au unaogopa kuibiwa et shem darling😍JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_