Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

na atashinda taji la u miss, halafu watu watajazana pm kwake wakijua ni pisi hivyo kila mmoja akibahatisha bahati yake yakujinyakulia miss jf... huko baadae itakuja kuwa kesi kubwa sana, wengine watalishikiria kama bango la umbea ama kukosa maadili, hapo ndipo kunaweza kusimama bango la upinde, litapigiwa kelele lakini atakuwepo mtu mmoja atakuwa kajikalia kwenye kona akilia kwa kwikwi baada yakutapeliwa na miss and mr jf...😅
Naendelea kufatilia list ya majina kwa umakini wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom