ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Shida ni huu uzee tu hakuna kingine!! Inabidi ukaguliwe ili mambo yasiwe mengi!Babu jana si tumechat sana kwenye uzi ule unataka kusema ulikua hujanijua😁
Uzee nao unakuonea 😔
Nimecha avatar ili usichanganyikiwe na bado umekubari kuchanganyikiwa😎