Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.

na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2. ShesRise_1
3. shibela
4. win-one
5. Depal
6. Binti wa zamani
7. Seran
8. Lamomy
9. Leejay49
10. ephen_
chai ya rangi

Sijui huwa unafikiria nini kijana nikifuatilia threads zako 😁😁
Una vibe za mtu mcheshi kupitiliza, 😊
Au labda kuna kitu unapitia something complicated 🥹
kama ni kweli basi polee, lakini usifiche sana kuq muwazi unaweza kusaidika bro 😉
But for real you're too fun 😁

Sasa nikusanue hizi IDs za swaga zisikushtue bhana usikute tuna makende kama alivyosema Lamomy

Lakini usijali chukua maua yako 🌹🌹
 
Sasa nikusanue hizi IDs za swaga zisikushtue bhana usikute tuna makende kama alivyosema @Lamony

Lakini usijali chukua maua yako 🌹🌹
Sasa hivi ndio najua kumbe wewe ndio HATA najua basi!! Haya masweta mnayovaa leo kijani, kesho njano😅
 
chai ya rangi

Sijui huwa unafikiria nini kijana nikifuatilia threads zako 😁😁
Una vibe za mtu mcheshi kupitiliza, 😊
Au labda kuna kitu unapitia something complicated 🥹
kama ni kweli basi polee, lakini usifiche sana kuq muwazi unaweza kusaidika bro 😉
But for real you're too fun 😁

Sasa nikusanue hizi IDs za swaga zisikushtue bhana usikute tuna makende kama alivyosema Lamomy

Lakini usijali chukua maua yako 🌹🌹
hahah hadi umenihurumia sio.. wengine wameniambia ni tatizo la afya ya akili, mimi mtaani ni mpole sana ujanja wote unaishia mtandaoni 😂
 
Back
Top Bottom