Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Jana usiku ulijisikiaje wakati meli yangu yenye urefu wa kadiri ilivyopita katika mlango wako wa Hormuz?
ID inayoogopwa Kuchukuliwa hatua (KUADHIBIWA) na Moderators wa JamiiForums kwa kupenda Kunichokoza, Kunitukana, Kunishambulia na Kunidhalilisha. Na nina uhakika kwa jinsi hawa hawa wanaoigopa hii ID wanavyonichukia hivi anavyofanya Yeye (inavyofanya hii ID) ingekuwa ndiyo Mimi GENTAMYCINE hivi sasa ningekuwa BANNED tayari ama kwa Siku 30 au Siku 90. Ni kama vile Moderators wa JamiiForums wanafurahia hiki akifanyacho japo nimeshairipoti sana hii ID Kwao.

Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
na atashinda taji la u miss, halafu watu watajazana pm kwake wakijua ni pisi hivyo kila mmoja akibahatisha bahati yake yakujinyakulia miss jf... huko baadae itakuja kuwa kesi kubwa sana, wengine watalishikiria kama bango la umbea ama kukosa maadili, hapo ndipo kunaweza kusimama bango la upinde, litapigiwa kelele lakini atakuwepo mtu mmoja atakuwa kajikalia kwenye kona akilia kwa kwikwi baada yakutapeliwa na miss and mr jf...šŸ˜…
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom