Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Mimi huko kwenye umiss mnitoe, labda mkiweka list ya maMrs. au wanawake wazee wanaopenda mibinuko 😎

giphy.gif


Hiyo list yote tuna makendre yeye Miss kamuona wapi? 😹😹😹
Tunasoma huku tunabinya binya vinyanya vyetu 🤣🤣🤣

Mapisi wa watu wanakoroma huko kesho wanashtukizwa kwenye mashindano ya umiss
200.gif
 
Back
Top Bottom