Taja watu kwenye series waliokuwa sababu kubwa ya kuharibu kila kitu

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
My list

- Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin



- Prison Break - (T BAG ) aiseee !! huyu jamaa ana tamaa vibaya mno ukiongeza na ukatili wake kachangia sehemu kubwa kufanya maisha ya wenzake kuwa magumu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…