Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

nakupenda pia mzee wa totoz [emoji8]
 
si unajua mm ninavyokukubali chaubishi wangu [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naku luv sana Shunie, tume toka mbali
Toka enzi zile nina like 10, lakin 5 zote za kwako.

Haaha
Et cha ubishi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naku luv sana Shunie, tume toka mbali
Toka enzi zile nina like 10, lakin 5 zote za kwako.

Haaha
Et cha ubishi.
hahahhh tumetoka mbali sana we mtu ni mbishi sana yaan nakukutaga sehem nabaki kucheka tu kimya kimya hukubali kushindwa
 
hahahhh tumetoka mbali sana we mtu ni mbishi sana yaan nakukutaga sehem nabaki kucheka tu kimya kimya hukubali kushindwa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mi kijana mtulivu bhana
Kama mkuu wa mkoa vile , yaan mtulivu kama wewe.
 
Binafsi nawakubali watu wawili tu.
1. The bold. Huyu sioni wa kumfananisha hapa jf. Jamaa atakachokiandika ni kitu kiko linked and more deep.
2. Chief mkwawa. Jamaa anajitahidi sana kutoa ufafanuzi uliokwenda shule kwa marejeo mbali mbali na kwa utaalamu uliobobea.
3. Wengineo ambao kwangu naona hawatoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…