Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Mi Nawakubali sana wale wanaandika Hodi Humu ndani? Wengine wale wanaopigwa Ban.....
 
Asante but hii haina story
Hadithi ipo jukwaa lipi brooo
 
Napenda kukili kila mmoja wenu hapa jf natambua uwepo wake ila ntawataja wachache:

SAKAYO
Shunie,
dem boy,
mamaafacebook
gbefa,
Zamiluni Zamiluni,
black woman,
kituko,
alibakari,
Ms lincolin,
mshana jr,
the boss,
bbc,
Evelyn salt,
dinazarde,
Sky Elcat,
QUIGLEY,
mtebetini,
Rahabu,
lizarazu,
fakalava,
heaven on Earth,
BLACK MARXIST
honey faith,
espy
atug
stable woman
stunter,
werrason,
Mo 11 nk
 
hahahhah kunena kwa lugha inataka moyo sana sa nyingine nabaki kimya tu kuwa msikilizaji lkn ipo siku Mungu atatufua tunaweza na sisi
Hehehe
Sitaki kuamini kuwa ipo siku nami nitanena kwa lugha, tena kwenye kanisa la mtumishi toxic9!!! [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yaani nyie kwa kujiBashite hamjambo, hamjui maana ya watatu lakini???

Asante mkuu toxic9, ila hizo herufi kubwa zantisha, isije kuwa ndo natakiwa central
 
Hehehe
Sitaki kuamini kuwa ipo siku nami nitanena kwa lugha, tena kwenye kanisa la mtumishi toxic9!!! [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahh kumtafuta Mungu ni kazi hivyo jamani dear, wewe na shunie nitahitaji muda wa ziada kuwafundisha na kuwapa mafundisho ya kumjua bwana, mje kwenye kwaya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…