Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Lizabon
Miss natafuta
Galatia
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] uliniona wapi ambako kunaleta mashaka juu ya utumishi wangu, mwendokasi sipigi, bangi ndiyo kwanza sio rafiki, chuchu saa sita ndiyo wala sipendi, [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahaaa
Nimejikuta tu nacheka
 
Mwenzangu!!!
Nafwaa mie........
Sio kwa unabii huu jamani, kesho msiponiona mjue tayari
Kabla hujafa usiache kuja nikupake mafuta mgongoni, mafuta ya mpako wa mwisho...

Hakika utakufa kwa amani... na utafufuka nami baada ya masaa matatu.
 
baba paroko kule jukwaa pendwa unafanya nn ushaamua kumrudia Mungu kisingizio utasema unakuja fata kondoo waliopotea
Aiseeee
Kumbe yupo mpaka kule kwenye masinagogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…