mbona hujampa muda wa kupakwa hayo mafuta Babu nahisi ni usikuKabla hujafa usiache kuja nikupake mafuta mgongoni, mafuta ya mpako wa mwisho...
Hakika utakufa kwa amani... na utafufuka nami baada ya masaa matatu.
Kwa maana wote alionipa baba, sitampoteza hata mmoja.hii kwaresma iendelee mwaka mzim
Hahahaha huwa hukosi neno wewe mtoto wewe, wahumini wa hivi huwa siwapendi, maana hata wakati wakutoa sadaka anatoa kwa shingo upande halafu ukitoka hapo unanisema mchungaji mbona hatusomei taarifa za pesaYaani nyie kwa kujiBashite hamjambo, hamjui maana ya watatu lakini???
Asante mkuu toxic9, ila hizo herufi kubwa zantisha, isije kuwa ndo natakiwa central
sasa hivi kidogo aliacha kuingia ila yupoAiseeee
Kumbe yupo mpaka kule kwenye masinagogi
hahahhhhHapana jamani, Mungu anakutaka wewe apo. Nenda uje unisimulie ukuu wa Mungu
HeheheUkikaribia kufa unambie nije niuchukue moyo wako... siwezi kukuruhusu uondoke na asali ya moyo wangu...
aiseeKwa maana wote alionipa baba, sitampoteza hata mmoja.
AminaMilele amina binti...
Umesamehewa dhambi zako, endenda na amani, usitende tena dhambi.
Imani yako imekuponya.
HahahahhhHahahaha huwa hukosi neno wewe mtoto wewe, wahumini wa hivi huwa siwapendi, maana hata wakati wakutoa sadaka anatoa kwa shingo upande halafu ukitoka hapo unanisema mchungaji mbona hatusomei taarifa za pesa
Na hili ndilo neno la mrembo, sifa kwako ee babu.Hehehe
We ni changamoto!! Basi sawa, moyo wako utakuwepo tuu
Mrejesho wenzako watarudi mafanikio baki nyuma hivyo hivyo, imani yako itakuponzaNdo maana nimegoma kwenda, hebu mkwende nyie mkuje kunipa mrejesho
Hahahabahahahahahahahahahahahah [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Jeusi lina mimeno hivi
Teh teh tehKabla hujafa usiache kuja nikupake mafuta mgongoni, mafuta ya mpako wa mwisho...
Hakika utakufa kwa amani... na utafufuka nami baada ya masaa matatu.
Umeonaeeehii kwaresma iendelee mwaka mzim
Usisahau kumjaribu bwana kwa zaka na sadaka... leta sadaka zako ghalani mwangu, hakika utabarikiwa na utauona ukuu wa bwana wako mimi.Amina
Teh teh tehHahahaha huwa hukosi neno wewe mtoto wewe, wahumini wa hivi huwa siwapendi, maana hata wakati wakutoa sadaka anatoa kwa shingo upande halafu ukitoka hapo unanisema mchungaji mbona hatusomei taarifa za pesa
Mmmmmhsasa hivi kidogo aliacha kuingia ila yupo
Hapana... wa kukanyagwa ni shetani. Njoo kwangu ewe usumbukao na mizigo, nami nitakupumzisha. Nitakusaidia kumkanyaga shetani kwa nguvu zangu zote...Teh teh teh
Nataka yale mafuta ya kukanyaga ndo mazuri
Kanisa langu halina matairi, halitembei wewe uje ulifuate, njoo upokee upako, kama shunie mpendwa mpaka leo hujaolewa basi baada ya ibada utapata mume, njoo uupokee muujiza location ni ubungo terminal usisahau sadakababa paroko [emoji23] j'2 tunaomba location tuje
HeheheNa hili ndilo neno la mrembo, sifa kwako ee babu.