Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Kabla hujafa usiache kuja nikupake mafuta mgongoni, mafuta ya mpako wa mwisho...

Hakika utakufa kwa amani... na utafufuka nami baada ya masaa matatu.
mbona hujampa muda wa kupakwa hayo mafuta Babu nahisi ni usiku
 
Yaani nyie kwa kujiBashite hamjambo, hamjui maana ya watatu lakini???

Asante mkuu toxic9, ila hizo herufi kubwa zantisha, isije kuwa ndo natakiwa central
Hahahaha huwa hukosi neno wewe mtoto wewe, wahumini wa hivi huwa siwapendi, maana hata wakati wakutoa sadaka anatoa kwa shingo upande halafu ukitoka hapo unanisema mchungaji mbona hatusomei taarifa za pesa
 
Teh teh teh
Taarifa za fedha ni muhimu mtumishi
 
Teh teh teh
Nataka yale mafuta ya kukanyaga ndo mazuri
Hapana... wa kukanyagwa ni shetani. Njoo kwangu ewe usumbukao na mizigo, nami nitakupumzisha. Nitakusaidia kumkanyaga shetani kwa nguvu zangu zote...

Jee Sakayo, unamkataa shetani na mambo yake yote???
 
baba paroko [emoji23] j'2 tunaomba location tuje
Kanisa langu halina matairi, halitembei wewe uje ulifuate, njoo upokee upako, kama shunie mpendwa mpaka leo hujaolewa basi baada ya ibada utapata mume, njoo uupokee muujiza location ni ubungo terminal usisahau sadaka
 
Back
Top Bottom