Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

I'm speechless Mkuu! Nawaelewa sana wafuatao.

1,MSEZA MKULU ,Napenda sana mada za huyu "Thinkers".Ni za kufikirisha na zina Elimu kubwa sana ndani yake.Anatu-insist sana Juu ya usomaji wa vitabu ila huwa hatuielewi Logic ya yeye kutuasa juu ya hilo.Mungu ambariki na amtie nguvu pia ya kuweza kutubandikia Mada mchanganyiko humu Jamvini.I salute You Mkuu,Naamini ipo siku utanifundisha mengi.Ipo siku.

2,FaizaFoxy ,Napenda sana Majibu ya Huyu Mama {Utanisamehe kama nitakuwa nimekushusha umri/hadhi}.Ana majibu Fikirishi mno ila kwakuwa wengi wetu humu ni kina Changamkia tenda hatupendi challenge na hatupendi kukosolewa.Ukimsoma utamuelewa vizuri na ukimuelewa unaweza kumchukia.She is a genius in Jamii Forums.

3,M.M.Mwanakijiji,Napenda sana chambuzi za kina za Huyu Mzee {I'm not sure of his age but i think he'll be a grandpa}.Ana uchambuzi uliotukuka na Anayafahamu mengi kuhusiana na mada atakayoizungumzia.Hakika ni hazina kwa Members wote humu Jamvini.Mingu ambariki sana.

Idadi ni kubwa mtoa mada,Wapo wengi ambao wamenisaidia kui-shape akili yangu kwa namna moja au nyingine ila mto mada kani-limit sana.Bila kukusahau mtoa mada,Nawe nakukubali pia.
 
Jamani mpendwa tuombe tu uzima, Inshallah tutaonana siku moja. Usisahau zawadi haha
 
Huyu binti lazima tushirikishe wanamaombi wenzetu kina TB Joshua, Gwajima, Kakobe, Mwakasege na ikibidi kabisa Papa aitwe... Pepo limemkalia sehemu mbaya sana... Yani akiona hata Jogoo lile eneo linaanza kutekenya...

Unganeni nami kuliombea pepo baya limtoke binti Shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…