Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

The bold huyu jamaa amenilaza saa 9 sana kipindi najiunga jf ajili ya simulizi zake duuh. Heshima kwako mkuu nimejua vingi kutoka kwako
 
Maji ya baraka yakaa nyumbani baba Paroko, nitakuja kwa imani
Si wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutoke
 
Si wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutoke
Unakosea hapo tuu, mie sina mapepo
 
Unakosea hapo tuu, mie sina mapepo
Huwezi jua. Mi kwakuwa nna upako... najua mapepo yako yalipo. Unabii unanionesha haya mapepo huwa yanakuacha kwa siku nne mpaka sita tu kwa mwezi mzima...
 
Halafu nimekutaja huko nyuma hujanishukuru. ..!
 
Mwenye afya hamuhitaji daktari, ila mgonjwa. Mimi ni daktari naujua ugonjwa wako.

Tafadhali uje nikupatie tiba.
Tumsifu Yesu Kristo mtumishi
Leo sijakuona kabisaa kanisani. Kulikoni, au umeenda ibada ya nyumba kwa nyumba
 
Oouh..tusiwe tunasahauliana kwenye maombi

Karibu aise..ni saa nane viwanja vya tanganyika nini sijui.."kingeleza"kinachofuata sikijui hahahahaaaa..kiddin...
 
Karibu aise..ni saa nane viwanja vya tanganyika nini sijui.."kingeleza"kinachofuata sikijui hahahahaaaa..kiddin...
Haha...nipo mbaliii saaana. Ningekuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…