Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

The bold huyu jamaa amenilaza saa 9 sana kipindi najiunga jf ajili ya simulizi zake duuh. Heshima kwako mkuu nimejua vingi kutoka kwako
 
Maji ya baraka yakaa nyumbani baba Paroko, nitakuja kwa imani
Si wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutoke
 
Si wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutoke
Unakosea hapo tuu, mie sina mapepo
 
Unakosea hapo tuu, mie sina mapepo
Huwezi jua. Mi kwakuwa nna upako... najua mapepo yako yalipo. Unabii unanionesha haya mapepo huwa yanakuacha kwa siku nne mpaka sita tu kwa mwezi mzima...
 
1.Daby(aise huyu bhna kulingana na nyuzi zake bhna namuona kama ni mshkaji kinyama yani kelee uwiii nikiuona uzi wake tu naacha kila kitu nausoma mpka uishe.aise chalaa angu..nakukubali ni mbayaaaa...Arachuga hoye!!!)


2.Jr.mshana(huyu bhana huwa anazungumzia vitu kwa undan.huwa nikiuona uzi wake bhana..huwa nakaa vizur najiuliza leo kaja na nini tena)


3.miss natafuta.(nikisoma comments zake huwa najifunza n hana kuremba)
Halafu nimekutaja huko nyuma hujanishukuru. ..!
 
Mwenye afya hamuhitaji daktari, ila mgonjwa. Mimi ni daktari naujua ugonjwa wako.

Tafadhali uje nikupatie tiba.
Tumsifu Yesu Kristo mtumishi
Leo sijakuona kabisaa kanisani. Kulikoni, au umeenda ibada ya nyumba kwa nyumba
 
Back
Top Bottom