Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutokeMaji ya baraka yakaa nyumbani baba Paroko, nitakuja kwa imani
Unakosea hapo tuu, mie sina mapepoSi wajua kanisani ni jumapili?? Asa siku za kazi kwa emergency inakubidi uje malangoni mwa baba mchungaji... hakika utapakwa mafuta na kumiminiwa maji ya baraka... mpaka mapepo yote yakutoke
Huwezi jua. Mi kwakuwa nna upako... najua mapepo yako yalipo. Unabii unanionesha haya mapepo huwa yanakuacha kwa siku nne mpaka sita tu kwa mwezi mzima...Unakosea hapo tuu, mie sina mapepo
HeheheHuwezi jua. Mi kwakuwa nna upako... najua mapepo yako yalipo. Unabii unanionesha haya mapepo huwa yanakuacha kwa siku nne mpaka sita tu kwa mwezi mzima...
Mwenye afya hamuhitaji daktari, ila mgonjwa. Mimi ni daktari naujua ugonjwa wako.Hehehe
Huo unabii sio wa nchi hii babu jamani
Halafu nimekutaja huko nyuma hujanishukuru. ..!1.Daby(aise huyu bhna kulingana na nyuzi zake bhna namuona kama ni mshkaji kinyama yani kelee uwiii nikiuona uzi wake tu naacha kila kitu nausoma mpka uishe.aise chalaa angu..nakukubali ni mbayaaaa...Arachuga hoye!!!)
2.Jr.mshana(huyu bhana huwa anazungumzia vitu kwa undan.huwa nikiuona uzi wake bhana..huwa nakaa vizur najiuliza leo kaja na nini tena)
3.miss natafuta.(nikisoma comments zake huwa najifunza n hana kuremba)
Halafu nimekutaja huko nyuma hujanishukuru. ..!
Halafu nimekutaja huko nyuma hujanishukuru. ..!
[emoji23][emoji23][emoji23] ipo bhana chalaaaAise arifu mbn unaniletea maniaje tena aise...mbn sijajiona!!
[emoji23][emoji23][emoji23] ipo bhana chalaaa
Ulipapata kwa mzee wa upako?Akuuuuuuuu sijion japo kwa bahari mbaya tu..hahahaha
Tumsifu Yesu Kristo mtumishiMwenye afya hamuhitaji daktari, ila mgonjwa. Mimi ni daktari naujua ugonjwa wako.
Tafadhali uje nikupatie tiba.
Ulipapata kwa mzee wa upako?
Oouh..tusiwe tunasahauliana kwenye maombiSio mzee wa upako bhana...ni kwa mwl mwakasege aise
Oouh..tusiwe tunasahauliana kwenye maombi
Haha...nipo mbaliii saaana. NingekujaKaribu aise..ni saa nane viwanja vya tanganyika nini sijui.."kingeleza"kinachofuata sikijui hahahahaaaa..kiddin...