Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Daby huyu jamaa ni mtambo hasa
Nokia83 huyu ndio kichaa kabisa
General Galadudu huyu mwamba avatar yake na hlo jina lake yani ni perfect
Mondray huyu jamaa yeye ndio wa kwanza kunikaribisha Makapuku Forum
Numbisa + emmyta nawapenda bureee mapacha msiofanana
na wengine woteeee
 
mkuu @edd_mhando kuna mzigo wa Queen monica vipi unasoma
 
Zamaaaaaaaani.

Umemfungia wapi? Tunammisi humu hasa sisi tunaopenda taarifa zake za Kiudukuzi na za Kijasusi ambazo hutufanya sisi Mangumbaru ( tusio na maarifa na upeo wowote ) tuliotukuka Kuelimika na kuyafahamu makubwa sana ambayo mwenzetu ( Mumeo ) amebarikiwa nayo.
 
Hahahaaaaaaa hubbie bae njoo huku pls The bold

BTW,mbona yupo na anashusha vitu kama kawa?
 
Naweza taja kupitia avatar zao , kama great thinker unaweza kuwafahamu, naruhusiwa??
 
JamiiForum ni kama chakula ambapo kila kiungo kina mchango wake wa kipekee katika kukifanya chakula kuwa kitamu....na kila mmoja kukifurahia......

Kumtaja mmoja mmoja ni sawa ni kuunga mchuzi huku ukiwa umesahau kitunguu...au kupika pilau huku umesahau chumvi.....

Mimi binafsi nawashukuru watu kwa kuifanya JF kuwa hivi ilivyo kwa michango yao mizuri na kero zao.......

GOD BLESS YOU ALL.....


THINK BIG
TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…