Huyo jamaa nlomtaja watu wamemsahau tu, lakini sidhani kama bila yeye tungekuwemo humu... Lazima tumthaminiDuh we jamaa katili kichizi ,umewachinjia baharini wenzako hivi hivi,wenyewe wamejikakamua kukusifia halafu wewe unawakataa kweupeee
Tupo pamoja ninja, Huwa nakufuatilia sana tuSky El cat
Shunie huyu tuko nae mpka Insta
Stunter nigga
Salute Hommie Eddyaliyeni vutia zaidi hadi ni mekuwa teja wa huu mtandao ni LEGE na dada angu mpenzi nameless girl kwa kuwa mimi ni mpenzi wa hadithi kwa kweli nilikuwa lazima niingie nisome mahadithi kutoka humu...hii imenifanya mmoja wa hao nilio wataja awe mtu wangu wa karibu nawasiriana nae japo si sana...
namkubari Heaven Sent ....
namkubari sana miss chagga na mshana jr pamoja na STUNTER wapo wengi wengine majina yao nashindwa kuyataja kutokana na ugumu wa kimatashi....
Nakusoma sana mwana, tupo pamojaMahond
STUNTER
Joana
[emoji4]
Hawa watu kwa comments[emoji125]
Tupo pamoja Ndetimakete .. Hatuwezi kutupana baharia1😡STUNTER
2😡The bold
Mmu wooteWatatu wa nini!!
Mmoja tu, miss chagga!
bado sijaufungua huo uzi...ila nitaufuata muda si mrefu...mkuu @edd_mhando kuna mzigo wa Queen monica vipi unasoma
asante...unanivuta pia mkuu
Hata mimi huyu Dada namzimia sana wa kutoka TBR.Haha I'm humbled, you know[emoji120] [emoji120]
BAK, babu yangu mpendwa Asprin, warumi (sijui ana ban) manake simuoni siku mbili hizi, mwalimu kutoka Dodoma na my bro The BossKungwi aliyebobea 🙂