Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sawa MchungajiHaya jiandae kabisa. Uutakase mwili kabisa... ili ukifika mchungaji nianze huduma moja kwa moja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MchungajiHaya jiandae kabisa. Uutakase mwili kabisa... ili ukifika mchungaji nianze huduma moja kwa moja...
hapo umemkamata sakayoSadaka mimi ndo nakupa ili uilete madhabahuni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lile jukwaa lake nalifanyia maombi liunguzwe kwa moto wa jehanamu
Sijui hata wanapakana wakiwa wapi, hivi wewe uliyakanyaga wapi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mafuta mnapakana wapi hotelin au
Hakika utabarikiwa, wewe na via vyako vya uzazi na uzao wako wote. Nawe utanizalia mtoto mwanaume, jina lake utamwita Aspro, yaani kidonge pamoja nasi.Sawa Mchungaji
hapo umekamatwaOoooh, hapo sawa!!
Kesho asubuhi jumuiya baba mchungaji naomba unitumie ka elfu 50 za sadaka kwenye ile namba ya voda
Hahahhhhh uko nyumbani hukoUje kuchukua nyumbani, wachungaji hatuna access na Electronics... Ni chukizo kwa bwana...
Imeandikwa usimjaribu bwana wako...Sijui hata wanapakana wakiwa wapi, hivi wewe uliyakanyaga wapi tena
Hahahahapo umemkamata sakayo
Sitakii baki na Babu yakoMpe Shunie anitumie sadaka hiyo, kesho tukutane kwenye jumuiya
Baraka hazipitishiwi kwa secretary. Njoo uichukue mwenyeweHahaha
Nimemwambia akupe uniletee hiyo sadaka
Acha hizo, JF inanoga kutokana na michango ya watu wote kusoma na kupost la sivyo hakuna jf wala star.Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
AmeeeenHakika utabarikiwa, wewe na via vyako vya uzazi na uzao wako wote. Nawe utanizalia mtoto mwanaume, jina lake utamwita Aspro, yaani kidonge pamoja nasi.
Paroko mgumu huyohapo umekamatwa
haleluuuuyaaa....Ameeeen
Shost hutaki tena jamaniSitakii baki na Babu yako
Basi tuu, nitaenda bila sadakaBaraka hazipitishiwi kwa secretary. Njoo uichukue mwenyewe
Usisahau... uje without kabisa ili tusipoteze muda. Sawa enh??Basi tuu, nitaenda bila sadaka
Huyo mapepo yameshamshuka... ntamuacha kiporo.Shost hutaki tena jamani