Taji Apewe Mshindi wa Tatu

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
2,091
Reaction score
1,178
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.

Nadhani yule ana sifa zote za kuwa Miss TZ.

NB
Ni hawa hawa kina Lundenga walimtema Miriam Odemba lakini leo ni maarufu Duniani.

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Miriam_Odemba

Masahihisho
Niliposema taji apewe mshindi wa tatu nilimaanisha Lilian Kamazima wa Arusha.
Nilipotoshwa na link hapo chini na baadhi ya blogs zilizomripoti Lilian kama mshindi wa tatu.
Nimebaini kuwa Lilian kumbe ni mshindi wa pili.
Hivyo, Lilian Kamazima anastahili kupewa taji.

Link iliyomripoti Lilian kama mshindi wa tatu hii hapa
http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/10/141021_sitti_tanzania
 
Wenzetu walioendelea wanaposikia mrembo kutoka Afrika wanajua ni mrembo mmoja mweusi, mrefu, mwembamba, hajasuka wala kuweka rasta nywele ie black beauty.

Odemba ameshinda mara nyingi ulaya kwa kujua hili.

Sasa sisi tulivyo wa ajabu tunapeleka waliojichubua, waliovaa nywele za bandia, na wenye kuiga uzungu.

Mshindi wa tatu anaweza kuwakilisha vyema.
Otherwise hatupati kitu
 
Kwa habari nilozosikia Taji Sitti keshajivua ila Lundenga ndio anangangania kua aendelee kubaki nalo.. hata ule uvumi wa mara ya kwanza nasikia ilikua kweli japo Lundenga akaja kukanusha kua si kweli.

Ni tetesi tu
 
Kwa habari nilozosikia Taji Sitti keshajivua ila Lundenga ndio anangangania kua aendelee kubaki nalo.. hata ule uvumi wa mara ya kwanza nasikia ilikua kweli japo Lundenga akaja kukanusha kua si kweli.

Ni tetesi tu

Mmmh inaonekana kuna siri nzito sana nyuma ya hili taji...Sitti kachoka maneno lakini lundenga anamtumia kukwepa kashfa kua kachemka....
Mimi nadhani akikubali atarudisha heshma yake inayopotea kama theluji ya mt. Kilimanjaro
 
Lundenga nae kwa visa anaweza nipa hata Mimi mama mwenye watoto wa3, bora awe na mood tuu mengine hataki kujua....
 
Endapo akipewa mshindi wa tatu lazima yataibuka maneno pia...Mimi naona wale top 5 washindanishwe tena ili tumpate mrembo halali...
 
hivi akivua taji na zile zawadi alizo pewa atazirudisha?
 
Mwaka huu nadhani ndio mwisho wa haya mashindano ya uchangudoa ambayo kila mwaka yanaendelea kukosa umaarufu..
 
Mwaka huu nadhani ndio mwisho wa haya mashindano ya uchangudoa ambayo kila mwaka yanaendelea kukosa umaarufu..

Nakumbuka miaka ya nyuma sana nilikuwa nafatilia sana haya mashindano

ila miaka ya karibun argghhh

yan.mwaka huu nilistukia tu kwenye media jina la.ms Tanzania..


Haya mashindano hayana sifa yoyote tena hasa kutokana na wakware hawa kuyatumia vibaya kula papuchi za wadada kwa promise za ushindi
 
Bora ajivue akae kwa amani maana angepata pressure za bure.Yeye akae tu aanze kujinenepea arudishe shape yake
 

Hehehe....yani utafikirI kichangudoa...na alivyojichubua sasa eti hii ni siku ya graduation. .seriously.????????
 

Attachments

  • 1414431264522.jpg
    15.1 KB · Views: 850
  • 1414431275667.jpg
    51.1 KB · Views: 854
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…