Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.
Nadhani yule ana sifa zote za kuwa Miss TZ.
NB
Ni hawa hawa kina Lundenga walimtema Miriam Odemba lakini leo ni maarufu Duniani.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Miriam_Odemba
Masahihisho
Niliposema taji apewe mshindi wa tatu nilimaanisha Lilian Kamazima wa Arusha.
Nilipotoshwa na link hapo chini na baadhi ya blogs zilizomripoti Lilian kama mshindi wa tatu.
Nimebaini kuwa Lilian kumbe ni mshindi wa pili.
Hivyo, Lilian Kamazima anastahili kupewa taji.
Link iliyomripoti Lilian kama mshindi wa tatu hii hapa
http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/10/141021_sitti_tanzania