Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

ndio akae kimya kabisa, maana wanaitafuna hii nchi kadili wawezavyo wanaangaliwa tu...walipewa mashamba wayaendeleze wakaenda kukopea na kujenga viwanda....wakifinywa gizani wanalialia...
Kumbe hawa nao wakati mwingine ni adui zetu eeeh?
 
Amesema lini na kupitia wapi lete ushahid.au amekwambia wewe tu
 
Wako wengi bwashekhee ata wakina Ulimboka watoke sasa,Familia ya yule mzee aliekuwa mjumbe wa tume ya katibanae nayo itoke maana tushachoka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana haka ya Kutoa Taarifa?? Sijui angeita tu Waandishi wa Habari akabwabwaja tu? Nimeishaanza kuona ni Yale Yale... Hakuna Jipya!
 
Mkuu, hii code ya tajiri anayelia Kama ng'ombe umetisha sana!!

Ila mkuu, source ya udaku huu hujaiweka waz!!!
 
Tatizo wanataja madhambi ya marehemu, inaishia kuwa porojo tu
 
Usiwe kama umekatwa kichwa, kwani CCM ni nini kama siyo hao hao viongozi majambazi? Kwa namna usivyo na akili timamu unataka kutuaminisha kuwa CCM ni dubwana fulani!
 
Usiwe kama umekatwa kichwa, kwani CCM ni nini kama siyo hao hao viongozi majambazi? Kwa namna usivyo na akili timamu unataka kutuaminisha kuwa CCM ni dubwana fulani!
Hahaa kweli wewe nyumbu. Mmepigwa chenga ya mwili mmejaa kila kukicha kumsakama magufuli the dead ambae hana madhara tena kwenu. Kama ccm sio mfumo mbona kila kiongizi akija analinda maslahi ya ccm na sio taifa? Unaakili kwenye masabuli ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…