SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #41
Kitanda usicholalia...Nani amekwambia pesa ya Mo Dewji imenyooka? yaliyo nyuma ya pazia usiyasemee kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitanda usicholalia...Nani amekwambia pesa ya Mo Dewji imenyooka? yaliyo nyuma ya pazia usiyasemee kabisa.
Angedumu huenda tungejua mengi. Bwana James Mahinga aliishia kuhukumiwa miaka miwili jela, alijitetea aliwatafuta watu kwaajili ya kumuadabisha mtoto wa boss lakini sio kumuua kama ilivyotokea. Anasema yeye mwenyewe alishangaa namna Wangondu alivyoipokea kwa furaha habari ya mtoto wake kufa.Huyo mzee watoto wake wa kuzaa tuu katafuna wawili duh
Kwenye hayo mabwawa yake ya samaki na migodini itakuwa watu baki kafukia mamia
Sema lile kofi la shavu mbele ya watu, ni fedheha sana kwa tajiri.chanzo kikuu hapo ni mwanamke....mapenzi haya bhn daah
Kafupi na wenzio wanalalamika ni ndefu sana? 😄Kastori kafupi lakini katamu
Anasema Simba inampatia hasara na inamkosesha Furaha Ila hapo hapo hataki kuachia uwekezajiNani amekwambia pesa ya Mo Dewji imenyooka? yaliyo nyuma ya pazia usiyasemee kabisa.
Shida ni Upendo Mzee labda alikua anamkomoa Manzi aliemzingua mwanae Ila mwanae hakumuelewa Mzee angempa nafasi amsikilize kwa makiniSema lile kofi la shavu mbele ya watu, ni fedheha sana kwa tajiri.
Kumbe jamaa ndio alikwepa kimafia namna hiyo 😁Angedumu huenda tungejua mengi. Bwana James Mahinga aliishia kuhukumiwa miaka miwili jela, alijitetea aliwatafuta watu kwaajili ya kumuadabisha mtoto wa boss lakini sio kumuua kama ilivyotokea. Anasema yeye mwenyewe alishangaa namna Wangondu alivyoipokea kwa furaha habari ya mtoto wake kufa.
Ahsante, kaka.Wee jamaa..
Una chambuaga mambo vzri mno yaani kama ungekua polis basi ungekua kile kitengo cha FFU an mambo ya investigation mkuu
Upendo Mzee alikua amemchukulia Frida km Malaya tu baada ya kumzingua mwanae Daniel tofauti na Daniel alivyomchukulia kwa hio Dan angempa nafasi Mzee wake anataka kumwambia nini lakini sababu ya Tungi ndio akaona ngoja amtwange makofi unamtwanga makofi Baba yako si hapo hapo anasema hili bao kwanini sikulipigia NYETO?Kumbe jamaa ndio alikwepa kimafia namna hiyo 😁
😂😂😂 Duuuh kujiua tena?Huyo Farida ana nuksi kinoma, na hapo ndo utaona wanawake tulivyo na roho ngumu ingekuwa mwanaume angejiua
Kachomoka yeye pamoja na Geoffrey Warutumo, mzee wa koneksheni, kwani yeye hakutoka kabisa mji wa Embu hivyo hamna ushahidi wa kumuunganisha moja kwa moja.Kumbe jamaa ndio alikwepa kimafia namna hiyo 😁
Kesi imeisha kimasikharaKachomoka yeye pamoja na Geoffrey Warutumo, mzee wa koneksheni, kwani yeye hakutoka kabisa mji wa Embu hivyo hamna ushahidi wa kumuunganisha moja kwa moja.
Kiburi cha Farida ndani ya nyumba kilianza akiwa tayari na mahusiano na mzee Wangondu. Unadhani kwanini alianza kuvimba, mzee? Ni baadae tu ndo mwana alikuja kujua kumbe shida yote chanzo ni mzee.Upendo Mzee alikua amemchukulia Frida km Malaya tu baada ya kumzingua mwanae Daniel tofauti na Daniel alivyomchukulia kwa hio Dan angempa nafasi Mzee wake anataka kumwambia nini lakini sababu ya Tungi ndio akaona ngoja amtwange makofi unamtwanga makofi Baba yako si hapo hapo anasema hili bao kwanini sikulipigia NYETO?
Sijui atakuja kuwaambia nn hao watoto kuhusu baba na babu yao.Huyo Farida ana nuksi kinoma, na hapo ndo utaona wanawake tulivyo na roho ngumu ingekuwa mwanaume angejiua
Mna nguvu za mwili ila sio nafsi, yani ingekuwa mwanaume ndo kasababisha sekeseke lote hili angejiua, nina wasiwasi huenda hata huyo Mzee atakuwa kajiua😂😂😂 Duuuh kujiua tena?
Ni zaidi ya aibu na uchafu atajivunia nini mbele ya wanae!Sijui atakuja kuwaambia nn hao watoto kuhusu baba na babu yao.