Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

Kiburi cha Farida ndani ya nyumba kilianza akiwa tayari na mahusiano na mzee Wangondu. Unadhani kwanini alianza kuvimba, mzee? Ni baadae tu ndo mwana alikuja kujua kumbe shida yote chanzo ni mzee.
Huyo mzee hakupitia jando? Alithubutuje kufanya uharamia kama huo? Hiyo ilikuwa ni sawa na kuzini na binti yake wa kumzaa.
 
Mzee aliendekeza tamaa. Unamwekaje ndani mwanamke alotoka kwa mwanao? Sasa Frida amebakia ingali wote wawili wametangulia kaburini.
Na huyo frida hana akili, wanaume wote kakosa hadi atembee na Baba mkwe wake!? Hata hao watoto unaweza kuta ni wakuchakachua na wala si wa mumewe!! Kuna wanawake wako kama Mashetani kweli!!
 
Dah! Tragedy.
Wale wauaji ikawaje!?
 
Back
Top Bottom