Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kumbuka alikua akila bibi ya mwanae, so mzee alikua na sababu mbili.Kuwakatia bima wanao kisha uwaue upige hela hio ni high level ya ukichaa, mzee alikuwa psychopath
Very cleverAngedumu huenda tungejua mengi. Bwana James Mahinga aliishia kuhukumiwa miaka miwili jela, alijitetea aliwatafuta watu kwaajili ya kumuadabisha mtoto wa boss lakini sio kumuua kama ilivyotokea. Anasema yeye mwenyewe alishangaa namna Wangondu alivyoipokea kwa furaha habari ya mtoto wake kufa.
Ila.majibu yako jau sana..Ahsante, kaka.
Hahah pale kweli hamna kitu mzee wala sio uongo. Ni movie mbaya.Ila.majibu yako jau sana..
""Hamna kitu hapo""
Ukiendekeza pesa, utu unakaa mgongoni.Kuwakatia bima wanao kisha uwaue upige hela hio ni high level ya ukichaa, mzee alikuwa psychopath
Nini mkuu?Ndo maana
Unazinguwa ahahahahHahah pale kweli hamna kitu mzee wala sio uongo. Ni movie mbaya.
baadhi ziko open, refer to kesi ya bilionea Msuya.Kenya wanajaribu kuwa kama westerns kwa uwazi wa kesi zao na uhuru wa habari.
Kwa Tz ni nadra sana kukuta hizi habari
Hatari sana wajinaAlikuwa na jumla ya watoto tisa. Kafanya hivyo kwa watoto wawili, Emmanuel na Dan. Kwa huyu Dan, alikuwa na sababu ya ziada, sababu yenyewe ni mkewe.
Nilikuwa Kenya wakati wa sakata hilo, apartment niliyofikia ilikuwa ikimilikiwa na familia ya Bwana huyo, niliondoka kabla muafaka haujapatikana, na sikuifatilia tena, ndo kama ninavyoisoma hivi leo.Ukiendekeza pesa, utu unakaa mgongoni.
Nini mkuu?
Bantu.SteveMollel kazi nzuri best. Hii ni tamaa mbele mauti nyuma...
Na huu mchezo haujaanza juzi, tukio kama hili liliwahi kutokea South Africa pia. Mambo ya pesa za bima kwa kuua watu.Ukiangalia ID channel ya DSTV, utagundua jinsi life Insurance ni hatari kwa maisha yako
Duh. Mwenye nyumba wako alikuwa m-deadly.Nilikuwa Kenya wakati wa sakata hilo, apartment niliyofikia ilikuwa ikimilikiwa na familia ya Bwana huyo, niliondoka kabla muafaka haujapatikana, na sikuifatilia tena, ndo kama ninavyoisoma hivi leo.
Still, high level ya ukichaa. Na ukwasi wote huo K ya mkwe wako ya kazi gani?Kumbuka alikua akila bibi ya mwanae, so mzee alikua na sababu mbili.
Utamu wa papuchi ya mkwewe na pesa
Hata hiyo kumla mke wake ukute ni mazingira alikuwa anayatengeneza ili akija kufanya tukio asiwe target wa moja kwa moja, sema mwanae alijiwahisha kwa kumcha makofiKumbuka alikua akila bibi ya mwanae, so mzee alikua na sababu mbili.
Utamu wa papuchi ya mkwewe na pesa