Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Namjua vizuri sana dogo hilo tumekulia the same street wazee wetu walikuwa wanaukarbu ule wa mtaa sasa nna kama week naona videos zake na anayoyafanya na yeye ni mbingu na ardhi.

TUSIAMINI SANA MITANDAO KWANI MENGI SIYO UHALISIA KITAA
Kwamba hata hio gari yenye plate no jina lake sio lake
 
SISI MATAJIRI HATUJASIKIA KUHUSU BANDARI KUUZWA "CHIEF GODLOVE

"Sisi Matajiri Hatujasikia kuhusu Bandari Kuuzwa lakini Kila siku tunasikia Maskini Ohhh Bandari Inauzwa Hivi Mpo serious kweli?'

"Wewe Toka umezaliwa Hujawahi Hata Kununua Gari Hata kuagiza baiskeli au Pikipiki kuipitisha Bandarini unakaa mtaani Unajadili Bandari Ina Uzwa Hivi una Akili kweli Wewe! Badala ya Kwenda kutafuta Pesa Unakaa kijiweni Kujadili Bandari Kwani utakula Bandari?

"Kwani Hiyo Bandari ndio inakuletea Chakula Nyumbani, au kwamba Wewe Huwa unaenda Kuchukua Hela Kila siku Pale Bandarini? Huo muda mnaotumia kujadili kuhusu Bandari si mtoke Mkatafute Hela " Mwanamitandao na Tajiri Kijana Chief Godlove [emoji2788]

Cc King Kong III
 
Back
Top Bottom