Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Mimi Kama msemaji wa matajiri wa Tanzania
Nmeagiazwa niwaambie kwamba matajiri hawamjui uyo kijana😁 , na hawategemei..

& Kama magari used ni utajiri😁 hiyo Benz Ni bei ya canter ndogo ya lamba Lamba au (mikate) ya bakheresa...

Ukimtazama vizuri unagundua ata ukimuuliza bandari Ni Nini? Hajui kwa ufasaha.
 
To each their own..., Ila huenda Impact ya Kuuzwa ikawa mbaya zaidi kwa masikini hivyo ni haki yao hao so called masikini walalamike (au wao hawana say kwenye nchi yao) ?

By the way last time I checked kwa uhakika wa three basic needs (Chakula, Malazi na Mavazi) basi hao masikini ni majority na wasikilizwe....
 
Namjua vizuri sana dogo hilo tumekulia the same street wazee wetu walikuwa wanaukarbu ule wa mtaa sasa nna kama week naona videos zake na anayoyafanya na yeye ni mbingu na ardhi.

TUSIAMINI SANA MITANDAO KWANI MENGI SIYO UHALISIA KITAA
Kwamba we naye umeishi Ipinda?
 
Hana lolote anapenda tu kujimwambafai IG[emoji23][emoji23][emoji23]....ila ukidig deeper alichokisema kina mantiki japo lugha aliyotumia sio nzuri [emoji55][emoji55]
Katumia lugha nzuri kufikisha ujumbe kwa watu
 
Back
Top Bottom