Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Tajiri yeyeto Huwa na uchungu na pesa zake huwezi kuta anakula bata za show off,Hawa ni scammers,wazee wa pesa za makafara.
Eti tafuta Hela yeye anazitafutia wapi aonyeshe mitikasi yake cash flow zake zinaingiaje
 
Kila mtu ana style yake ya maisha. Hata Elon Musk Kuna mda anajitoa ufahamu
Sio kuwa anajitoa ufahamu ni mtu wa masikhara Kwa mambo ya masikhara.Lakini upstairs Yuko vizuri kuliko huyo Punguani anayejihita tajiri.
 
Yaani huyu ndo tajiri kijana?🤔
 
Tajiri ambae hana p.o.box mjini,na gari manunuzi yake yanakaa kwenye wallet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…