Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

Mbowe ni masikini?
 
Namjua vizuri sana dogo hilo tumekulia the same street wazee wetu walikuwa wanaukarbu ule wa mtaa sasa nna kama week naona videos zake na anayoyafanya na yeye ni mbingu na ardhi.

TUSIAMINI SANA MITANDAO KWANI MENGI SIYO UHALISIA KITAA
Kitenge pro
 
Sidhani kama ana akili za kutosha na sidhani kama anastahili kuwa kwenye kundi linaloitwa la matajiri kwakuwa utajiri huendana na ufahamu na kujielewa.
Tajiri yeyote hata kama hajasoma automatically huyo ana akili. Ukiona mtu ana pesa na hana akili utakuwa sahihi kusema ni pesa za majini.
 


Kama utajiri ni kuvaa track ya pink ni sawa, just another stupid fella
 
Anaitetea ccm isimpelekee TRA. Huyu tajiri atakuwa na makando kando sana.

Tajiri Godlove
 
Namjua vizuri sana dogo hilo tumekulia the same street wazee wetu walikuwa wanaukarbu ule wa mtaa sasa nna kama week naona videos zake na anayoyafanya na yeye ni mbingu na ardhi.

TUSIAMINI SANA MITANDAO KWANI MENGI SIYO UHALISIA KITAA
Okay.......kwa hiyo anafanya maigizo hana hela kweli?
 
Kila mtu ana style yake ya maisha. Hata Elon Musk Kuna mda anajitoa ufahamu
umemtaja musk sababu ni tajiri mwenzake ama sababu huwa anajitoa ufahamu???

huyu hajitoi ufahamu ni akili kakosa kabisa.
anauliza kama bandari itaeletea wanaoijadili ugali mezani😟😟😟

yaani akili zake na utajiri wake bado anawaza ugali peke yake.
 
bob Marley aliwahi sema kuwa, "kuna watu dunia hii ni masikini sana, kiasi kwamba walichonacho wao ni pesa tu"..

ukifika mahala ukadhani kuwa pesa ndo kila kitu kwako na kuanza kuisujudia na kudhani eti kuwa kila mmoja ana wajibu wa kuisujudia pesa na kuililia kama wewe ufanyavyo, basi wewe ni mpumbavu....ni WAJIBU wa kila mwenye akili timamu kujilinda na kulinda na kutetea raslimari za nchi yake....
 
Maisha yanaenda kasi sana...

Kuingiza kipato hasa kwa majiji makubwa.... ni kufanya kitu kidogo tu Kwa kutumia akili.... utrend... Uanze kuingiza pesa kupitia mitandao kama YouTube n. k

Nilimfatilia siku 1 tu... Nikagundua hiyo ndiyo njia aliyoichagua kama ajira yake rasmi... Kupata followers na subscribers...

Hivi kwa mtu mwenye akili iliyosimama wima..... Tajiri Gani Kila video anayopost anahimiza watu wasubscribe kwenye chanel yake!?

Inaingia akilini kweli!? Hata ukiwaza tu Kwa kutumia kalio Moja tu la kushoto!?.....

Amegundua wabongo wanapenda vitu vya kijinga jinga.... amevigeuza vitu vya kijinga jinga... Kuwa Fursa!!!

Eeh!!! Kama hujanielewa ama unapingana na hili nililolisema hapa...basi Utakuwa mwehu! Ama Miongoni mwa wafuasi wake...
 
Duh! Kajipodoa huyo! 🀣 🀣
 
Ukiona maneno ya huyo jamaa yanakuchoma basi wekeza nguvu zako kwenye kupambana mm namchukulia kama muhamasishaji fulani anaewapa vijana hasira ya kupambania kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…