Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
- #21
Ishi kwa kukariri tuSimba hiwa inakiwa team maarufu sana kipindi cha usajiri na kile cha pre-season, ikashaanza ligi tu ni vilio na malalamiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishi kwa kukariri tuSimba hiwa inakiwa team maarufu sana kipindi cha usajiri na kile cha pre-season, ikashaanza ligi tu ni vilio na malalamiko
Endelea kunenepa utauponzaEwe tajiri tupunguzie hizi raha , tunanenepa Sanaaa.
Usiishi kwa historia broKazi yetu ni kupin hizi thread, tunajua mashabiki wa bongo uvumilivu hamna,tutakumbushana mda ukifika.
Ndo wakati wetu huu kufurahi,,,,ligi ikianza presha tena
Kwani ajabu,tunasajili uwezo wa mchezaji au timu?
Mwamnyeto mlimsajili timu yake ikiwa nafasi ya ngapi?
Msimu huu utajua kwanini Nyanya chungu haziliwi zikiwa za motoMbumbumbu Mkimaliza kusajili wachezaji msisahau kusajili na marefa kabisa maana hata mumlete Mbappe kipondo cha uto kiko pale pale!!
Sio historia bali tunawajua mashabiki wa bongo, hamna kitu mnacho kihitaji kwa sasa kama uvumilivu, kwani husijiwekee matarajio makubwa kwa timu inayo undwa,lazima itahitaji mda timu kukaa vizuri.Usiishi kwa historia bro
KmlmykEndelea kunenepa utauponza
Jiandaeni kupata tabu mpaka 2030....Boss karudiBora Mangungu atapumzika sasa, maana usajili wote ni MO
Timu ikifanya vibaya Msimu ujao tutashona midomo
Ila safari hii hatutakubali lawama ziende kwa Mzee wetu Mangungu.Bila ya Salamu.
Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu.
Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma vipya virudishe makali ya Simba.
Wahenga walisema Simba halali na njaa ila anaweza kuchelewa kula na hili nimeliamini kwa sajili za kimataifa zinazofanywa kimafia na Tajiri namba moja kijana Africa, namzungumzia si mwingine bali ni Trilionea Mohammed Dewji.
Leo hii ametangazwa beki wa kushoto ,mzaliwa wa mwaka 2000 (Kidume cha 2000) ,mchezaji wa timu ya Taifa ya Burkina Faso ,kinda mwenye miaka 24 , si mwinngine bali ni VALENTIN NOUMA.
Ni left back mwenye nguvu na kasi ya ajabu ya kupanda kushambulia na kuzuia huku akiwa ni specialist wa mipira iliyokufa , africa hakuna wa kumfananisha nae labda kwa karibu uwezo wake unafanana na kiungo wa westham united ,James Ward prowse. Simba sasa hivi licha ya kuwa itapata mabao mengi kutoka kwa viungo na washambuliaji wake bado pia itafaidika kwa magoli yatakayotokana na mipira iliyokufa (dead balls).
Bienvenu Valentin Nouma (aka Van NOMA)
Kazini kwa Tshabalala kuna Kazi.View attachment 3035728