Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

Mbumbumbu Mkimaliza kusajili wachezaji msisahau kusajili na marefa kabisa maana hata mumlete Mbappe kipondo cha uto kiko pale pale!!
 
Mbumbumbu Mkimaliza kusajili wachezaji msisahau kusajili na marefa kabisa maana hata mumlete Mbappe kipondo cha uto kiko pale pale!!
Msimu huu utajua kwanini Nyanya chungu haziliwi zikiwa za moto
 
Nasubiria kuona Semaji la CAF litakavyokuwa linatambulisha kwenye Simba day.

Kama vipi;

Tukutane Kwa Mkapa 💪
 
Usiishi kwa historia bro
Sio historia bali tunawajua mashabiki wa bongo, hamna kitu mnacho kihitaji kwa sasa kama uvumilivu, kwani husijiwekee matarajio makubwa kwa timu inayo undwa,lazima itahitaji mda timu kukaa vizuri.

Kwani timu mpya,kocha nae mpya ambaye hajawahi kuwa kwenye nafasi ya head coach kwenye timu yoyote inabidi mumvumilie, kwani inawezekana falsafa zake zinaweza zisiendane na wachezaji mlio wasajili.

Mnaweza mkajifunza kupitia Chelsea msimu 23/24, sema wenzetu maturity yao ni kubwa, ila sisi hatuna uvumilivu kila shabiki kocha. MO na viongozi wamemaliza sehemu yao,je mtakubali kuwa wavumilivu na kuwapa muda wachezaji na kocha iwapo timu ikipata matokeo ya hovyo.
 
Bora Mangungu atapumzika sasa, maana usajili wote ni MO

Timu ikifanya vibaya Msimu ujao tutashona midomo
 
@H.Kigwangala mzee wa nje ya box. Toa hata hela ya supu za wachezaji basi
 
Baada ya ligi kuanza zile mambo za "Bahasha za Gsm"hatutaki kuziona...maana huwa mnajitoa ufaham.
 
Oya wee kuna beki la kimataifa la Ivory Coast ...ana udugu na Kolo Habib Toure hatari sana huyu jamaa katambulishwa sasa hv

Karaboue Chamoue
 
Ila safari hii hatutakubali lawama ziende kwa Mzee wetu Mangungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…