Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Taarifa Yako Isitoe Hukumu
Huwezi Kujua Wakati Mwingine Gari Haivuti Mafuta Kwenye Tank
Hapo Driver Anaweza Kutoa Mafuta Kuweka Kwenye Dumu Wanaita Mchuzi Juu
 
ukisikia uchawi ndio huu,wewe kupita tu umeshajua wanaiba?vipi kama wanafaulisha kutoka tenki la akiba kwenda main tank?
Kwa nini wasubiri usiku? Halafu vichochoroni huko
 
Acha uchawa wewe! Unachukulia poa maisha ya watu utapigwa risasi upasuke ubongo
 
Back
Top Bottom