Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Dawa yake kuwaripoti tu hawa
Hata uki wa ripoti,utakua umepelekea watu wengine deal la kula huku wanakusanifu shauri lako bado linafanyiwa kazi kua na subira,miaka inaenda na masiku juu wenzako wanabunya kupitia mianyaa!!!
 
Acha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!
Huyo hajui nini maana ya kupiga nyoka! anazani dereva alikua anauwa nyoka!!!
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Wanatetea bila kujua tabia hizi ndio zinapanda hadi ngazi za juu za uongozi
Double standards...
Alaf wakisikia mtu kapiga billions wanapandisha uzi hapa ooooh kodi zetu.. wivu wa kike...
 
atajieleza yeye kwa bosi wake ikiwa hakuwa anaiba. Hii kusuport maovu nakuona tatizo la mwenzio siyo lako ndo linazalisha panya road. Kwa sababu unaona mwenzie ana ajeruhiwa unasema wewe haya kuhusu, siku ukipigwa na kitu kizito unaanza kulia serikali itusaidie.
Hakuna kitu kama hicho kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
Serikali yenyewe inaajiri watumishi na wanaishi kwa wizi bila hivyo HUTOBOI

Kila mtu ni mwizi kuanzia serikali yenyewe acha umasikini wa kufatilia maisha ya watu
 
Wanatetea bila kujua tabia hizi ndio zinapanda hadi ngazi za juu za uongozi
Double standards...
Alaf wakisikia mtu kapiga billions wanapandisha uzi hapa ooooh kodi zetu.. wivu wa kike...
Professor Muhongo alifundishwa na nani wizi?
Kwamba naye alianzia kwenye uwizi wa aina hii na sio kujikita na shule?
 
Professor Muhongo alifundishwa na nani wizi?
Kwamba naye alianzia kwenye uwizi wa aina hii na sio kujikita na shule?
Hujanielewa
Namaanisha kama mtu anatetea wizi huu bas ajue na wa juu wanafanya hivyo hivyo kila mtu anakula ofcn kwake
 
Hujanielewa
Namaanisha kama mtu anatetea wizi huu bas ajue na wa juu wanafanya hivyo hivyo kila mtu anakula ofcn kwake
Yes na tusiache wizi tusije kufa masikini.
Unapopata nafasi iba na nitoe kaelimu kadogo miradi ya umma ni mizuri sana kuiba na kifingo chake mara nyingi ni mwaka mmoja tu utatumikia miezi nane unatoka kuja kula maisha!

Hata ukikaa mtaani mwaka mzime million 15 hupati kwa maisha ya sasa hivi iba kamatwa fungwa miezi nane toka kula maisha
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Ndiyo wezi hao hao
 
Nyie mnaotetea wezi na kumkebehi huyu alieripoti basi siku jirani yako akiona mwizi anavunja kwako na haupo nae apige kimya asikupigie simu maana utamwambia ana wivu wa kike. Karma
 
Halafu: Ooh! hakuna ajira! Miaka ya kustaafu iwe 50 badala ya 60...!!
Ujinga mtupu!! Ndio maana mnaghushi ghushi hovyo hovyo!!
Mama, Tafadhali hapana samehe mitu kama hii!!
TAKUKURU chukua hizo namba halafu sweka ndani wote! Ni uhujumu uchumi!
 
Hivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?

Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Ndo ilivyo, huoni wanavyoteteana huko kwenye siasa pia? Anayepata kwa uhalifu, hawezi kukuelewa ukikemea uhalifu
 
Akili za masikini kumchukia tajiri akidhani ndio njia ya kufanikiwa
Wasio na malengo ya kutajirika we utawajua tu, wanaridhika na udokozi ili apatehela ya kuhonga malaya Singida.

Hana maono ya kujipatia tanker lake.
 
Back
Top Bottom