Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

Yaani watu wanadiriki kutetea wizi..na siajabu mtu huyohuyo utakuta analalamia ufisadi kushamiri serikalini..analalamia kura kuibwa nk..nimegundua jambo..
 
Back
Top Bottom