Hata uki wa ripoti,utakua umepelekea watu wengine deal la kula huku wanakusanifu shauri lako bado linafanyiwa kazi kua na subira,miaka inaenda na masiku juu wenzako wanabunya kupitia mianyaa!!!Dawa yake kuwaripoti tu hawa
Ngoja wakute siku Mtoto wao anabakwa ndiyo siku watajua umuhimu wa ku report tukio husika kwa mamlaka husika!!!Watanzania ndo mnafanya hata mtu akiona tukio baya asiseme mnakazi ya kumwita mmbea. Sio sawa
Huyo hajui nini maana ya kupiga nyoka! anazani dereva alikua anauwa nyoka!!!Acha kufikiria kwa kutumia kimba bro!gari lako mwenyewe,umeingia shell kwa hela yako,then ukapige nyoka!!!
Wanatetea bila kujua tabia hizi ndio zinapanda hadi ngazi za juu za uongoziHivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Ukiifuatilia gari unakuta ya mchongo,.Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Hakuna kitu kama hicho kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.atajieleza yeye kwa bosi wake ikiwa hakuwa anaiba. Hii kusuport maovu nakuona tatizo la mwenzio siyo lako ndo linazalisha panya road. Kwa sababu unaona mwenzie ana ajeruhiwa unasema wewe haya kuhusu, siku ukipigwa na kitu kizito unaanza kulia serikali itusaidie.
Professor Muhongo alifundishwa na nani wizi?Wanatetea bila kujua tabia hizi ndio zinapanda hadi ngazi za juu za uongozi
Double standards...
Alaf wakisikia mtu kapiga billions wanapandisha uzi hapa ooooh kodi zetu.. wivu wa kike...
HujanielewaProfessor Muhongo alifundishwa na nani wizi?
Kwamba naye alianzia kwenye uwizi wa aina hii na sio kujikita na shule?
🤣🤣🤣🤣 La kwake mkuu alipige nyoka?Unajuaje kama anaiba,labda ni la kwake
Yes na tusiache wizi tusije kufa masikini.Hujanielewa
Namaanisha kama mtu anatetea wizi huu bas ajue na wa juu wanafanya hivyo hivyo kila mtu anakula ofcn kwake
Ndiyo wezi hao haoHivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Ndo ilivyo, huoni wanavyoteteana huko kwenye siasa pia? Anayepata kwa uhalifu, hawezi kukuelewa ukikemea uhalifuHivi kwa nini kumeibuka kundi kubwa la kutetea ujinga na uhalifu?
Mtu amewekeza mamilioni na amempa ajira huyo dereva Kisha anamuibia...from nowhere unamtetea!
Kama dereva hakulitelekeza gari porini nitashangaa.Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari.
Chukua tahadhari.
Wasio na malengo ya kutajirika we utawajua tu, wanaridhika na udokozi ili apatehela ya kuhonga malaya Singida.Akili za masikini kumchukia tajiri akidhani ndio njia ya kufanikiwa