MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote.
Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio waislamu, mjiulize kama kwa namna yoyote mnachoshabikia kitaleta amani ukanda huo.
Ifahamike kuifuta Israel hata ndoto haiwezekani, wale wana hadi manyuklia, na kama vipi mkiwafikisha kwenye kona wanafanya kitu kinachoitwa "Samson option", itafuteni kwenye Google nini maana ya kiapo cha "Samson option" ambacho wanajeshi wote wa Israel hulishwa.
View: https://youtu.be/ULjTL9IYwkQ