Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye keyboard ishafutwa 😀Lazima Hamas wafutwe ndio itakuwa mwisho wa vita
Hamas hawatatawala tena gazaKwenye keyboard ishafutwa 😀
Endeleeni kujidanganyaHamas hawatatawala tena gaza
Kwa hiyo Ukraine amemchokoza nani.?Swadaktaa,,,tatizo popote utakapompeleka ni vurugu tu,ona pale Ukraine.
,,,,,Nchi yenye idadi kubwa ya wayaudi barani ulaya ni Ukraine.
ulichoandika,unajielewa kweli!!!Lakini mimi nashangaa, Saudi Arabia wana nchi kubwa sana na sehemu kubwa haikaliwi na kiumbe chochote sasa kwa nini basi wasiwagawie wapalestina ardhi kidogo iwe yao milele?
Hiyo itamaliza kabisa mgogoro uliopo kati ya Israel na Palestine na amani ya kudumu itakuwepo mashariki ya kati.
wapalestina wanataka kuwafuta wayaudi na sio ardhi , walishapewa ardhi kubwa kuliko israel ya 1948Lakini mimi nashangaa, Saudi Arabia wana nchi kubwa sana na sehemu kubwa haikaliwi na kiumbe chochote sasa kwa nini basi wasiwagawie wapalestina ardhi kidogo iwe yao milele?
Hiyo itamaliza kabisa mgogoro uliopo kati ya Israel na Palestine na amani ya kudumu itakuwepo mashariki ya kati.
Kwa hiyo Ukraine amemchokoza nani.?
Amemchokoza Tanzania si ndio anae mponda pondaKwa hiyo Ukraine amemchokoza nani.?
Propaganda mfuwapalestina wanataka kuwafuta wayaudi na sio ardhi , walishapewa ardhi kubwa kuliko israel ya 1948
Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote.
Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio waislamu, mjiulize kama kwa namna yoyote mnachoshabikia kitaleta amani ukanda huo.
Ifahamike kuifuta Israel hata ndoto haiwezekani, wale wana hadi manyuklia, na kama vipi mkiwafikisha kwenye kona wanafanya kitu kinachoitwa "Samson option", itafuteni kwenye Google nini maana ya kiapo cha "Samson option" ambacho wanajeshi wote wa Israel hulishwa.
View: https://youtu.be/ULjTL9IYwkQ
Duh!.. hao Wapalestina wana ardhi yao huko Gaza na West bank....Lakini mimi nashangaa, Saudi Arabia wana nchi kubwa sana na sehemu kubwa haikaliwi na kiumbe chochote sasa kwa nini basi wasiwagawie wapalestina ardhi kidogo iwe yao milele?
Hiyo itamaliza kabisa mgogoro uliopo kati ya Israel na Palestine na amani ya kudumu itakuwepo mashariki ya kati.
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu, Wazayuni hawana ardhi ata inch 1, walikwapua ardhi ya palestina na kujitengenezea ka-state, waliwekwa pale wakiwa na ahadi ya kulindwa ni waingereza na US sasa siku za mwisho wao zimekaribia Hamas wataifuta Israel yote na kurejesha ardhi kwa wazawa Palestine