Tajiri wa HAMAS anayeishi kwa raha Qatar asema hadi Israel ifutwe ndio amani ipatikane

ulichoandika,unajielewa kweli!!!
kwani na ukubwa huu wa Tanzania tumeshindwaje kuwamegea raia wa GOMA na KIVU ardhi ili mgogoro uishe pale CONGO...wacha utoto
Yaani saudia iwape ardhi watu ambao tayari wana ardhi?
 
wapalestina wanataka kuwafuta wayaudi na sio ardhi , walishapewa ardhi kubwa kuliko israel ya 1948
 
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu, Wazayuni hawana ardhi ata inch 1, walikwapua ardhi ya palestina na kujitengenezea ka-state, waliwekwa pale wakiwa na ahadi ya kulindwa ni waingereza na US sasa siku za mwisho wao zimekaribia Hamas wataifuta Israel yote na kurejesha ardhi kwa wazawa Palestine
 
Duh!.. hao Wapalestina wana ardhi yao huko Gaza na West bank....
 

'mungu' wenu ameshindwa na Mungu wa Wayahudi, ameshawakimbia, pale pamezikwa mababu wa Wayahudi akina Musa, nyie dini yenu hiyo imeanzishwa juzi na waarabu leo mnataka mkawafute Wayahudi, mnaendelea kufutwa nyie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…