Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
Kkoo si ya wakinga jamani? Ama imekuaje tena[emoji23]
 
kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
Mkuu nimecheka vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
Na mahoteli mengi, viwanda. Kiufupi wako mbali sana aisee. Uchuuzi ni kama wanaukimbia. Wamehamia industrial level
 
Hizi zilikuwa dili pendwa za Marijani Msofe aka Papaa Msofe na mwezie Alex Massawe

Mkono wa JPM ulimnasa Papaa Msofe akafunguliwa mashtaka, ila Mamá alipoingia madarakani akafutiwa mashtaka,, yupo mtaani anajipanga kuendeleza alipoishia
Papa msofe hakukamatwa kipindi cha jpm msofe kakamatwa kipindi kikwete kwa order yake jk

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana kachukua bilion moja kwa mali ya bilion 14 then anarudisha 1 7 tu.?? Upuuzi na ujinga una mali ya 14 unaenda chukua bilion 1 kwa riba ya milion 700 .hizi njaaa za dunia zinaua watu.ila jamaa na yeye kaweka riba kubwa mno.

Note...hawa wote kwangu ni wapuuzi kutokana na imani yetu kukataza riba kwa sababu ya matatizo kama haya ambayo yanaepukika.
 
Ooh kumbe ss mnalalamika nin
 
I hope All is well now, Hizo ni stages tu za Biashara.
 
Ni rahisi tuu ; Ukikopa lipa maana huo sio msaada !!! Otherwise acha kukopa au uwe tayari kwa yatokanayo !!!
 
Na walijua kabisa wakienda bank hawawezi kupewa kwa kuwa bank wanaangalia uwezo wa mtu kwenye shughuli yenye mzunguuko wa hela kisha hatua ya pili dhamana, wakakimbilia kwenye mikopo ya moto matokeo yake hela iliyochukuliwa kwa ajili ya matatizo ya kifamilia imezidisha matatizo ya kifamilia tena
 
LDA bana wewe unajua kila kitu na bado unalalamika...kama unawajua kina hans,kimbori,tumbo,kiria,morio kina mlingi...na wengineo umeendaje kuchukua mkopo kwa primi!
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Kakuzingua Primu Mushi unalaumu wote vp tena bwashee
 
We mangi kama wewe sio wa pale kiwosso sijui, una info za kutosha aisee mpaka kidumbuyo unamjua???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…