miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu chekaaaSi tumekubaliana wenye ghorofa k/koo ni wakinga jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu chekaaaSi tumekubaliana wenye ghorofa k/koo ni wakinga jaman
Kkoo si ya wakinga jamani? Ama imekuaje tena[emoji23]hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
Waethopia banahawa n wakenya
Mkuu nimecheka vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23]kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
Na mahoteli mengi, viwanda. Kiufupi wako mbali sana aisee. Uchuuzi ni kama wanaukimbia. Wamehamia industrial levelsasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
Papa msofe hakukamatwa kipindi cha jpm msofe kakamatwa kipindi kikwete kwa order yake jkHizi zilikuwa dili pendwa za Marijani Msofe aka Papaa Msofe na mwezie Alex Massawe
Mkono wa JPM ulimnasa Papaa Msofe akafunguliwa mashtaka, ila Mamá alipoingia madarakani akafutiwa mashtaka,, yupo mtaani anajipanga kuendeleza alipoishia
Wachagga hawa mkuu. Tena covid haikuwapitia vile?Mzawa SABA GENERAL MZARAMO YULE naona kakomaa kwerikweri
Ova
Inamaana kachukua bilion moja kwa mali ya bilion 14 then anarudisha 1 7 tu.?? Upuuzi na ujinga una mali ya 14 unaenda chukua bilion 1 kwa riba ya milion 700 .hizi njaaa za dunia zinaua watu.ila jamaa na yeye kaweka riba kubwa mno.Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Ooh kumbe ss mnalalamika ninIDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguz
I hope All is well now, Hizo ni stages tu za Biashara.Upuuzi mtupu mkope hela mshindwe kulipa afu mlete tuhuma za kikabila na kumshambulia mushi dawa ya deni ni kulipa na mahakama zipo Kama mnaona haki haijatendeka. Hapo awali tulikua tunakopa benki za NMB, CRDB na tunarudisha vizuri tu, millioni Mia 400/300/200/600 bwana weeeee kuna kipindi tukachukua mzigo wa M600 bwana bwana pakawa pakakucha pesa ikaenda kwene mradi gafla mradi ukawa wa dumuzi gracing period imeisha mda wa rejesho umefika gari la CRDB hili apa biashara zimestaki mambo yamegoma huku multiple loans za mtaani zinatukabili gafla TRA wakapiga faini mamilioni huku staff wakitupeleka Mahakama ya kazi gafla kitega uchumi kimoja kikafungwa na state mradi mmoja uliobaki TRA wakalock account tukajila eti pesa zipokelewe mkononi bank TRA wanazichukua kufumba na kufumbua fraud ya hatari imetokea watumishi kibao wamefoji vitabu vya risiti na watu wanahitaji huduma zao gafla tunadaiwa m126 za wadau wa chanzo kilichofungwa huku CMA kesi ikiunguruma huku barua za TRA huku madeni ya wadau. Sitosahau kutoka kua na gari nne za nguvu za kutembelea mpk kubaki na toyota escudo number A huku manyumba viwanja na mashamba tukiuza kulipa m400 huku restructuring ya loans ni 800 na vyanzo vya pesa vinasua sua nyie acheni wadau mambo yakibadilika gafla afu Mama ndio anaeendesha biashara na hayo majanga yote yapo juu yake. Tuliwahi ikimbia land cruiser ya miva tukizani ni ya CRDB hakianani tuliwaoma jamaa wabaya kwene haki yao licha ya urafiki wa mda mlefu kwene benki yao hadi tukahisi jamaa wanatuibia. Nyie acheni tuliuza mali sana kulipa madeni ya watu. Mtoa mada lipeni pesa kama hamna uzeni mali mtamuona mtu ni mbaya kwene haki yao siku zote mtu ukidai akiyao unaleta uadui.
Kwa iyo ukikopa benki ukashindwa lipa iyo nyumba ndio haichukuliwiKwanini wasiende benki kukopa badala ya kwenda kwa Mushi ili hali Wana dhamana halali
Na walijua kabisa wakienda bank hawawezi kupewa kwa kuwa bank wanaangalia uwezo wa mtu kwenye shughuli yenye mzunguuko wa hela kisha hatua ya pili dhamana, wakakimbilia kwenye mikopo ya moto matokeo yake hela iliyochukuliwa kwa ajili ya matatizo ya kifamilia imezidisha matatizo ya kifamilia tenaInawezekana Kabisa.
Wewe ndio hujui mambo ya biashara na sheria.
Umekopa mwenyewe, umepewa mkataba mkakubaliana, Wala haukuitwa wala kulazimishwa, alafu uone umetapeliwa.
Hata Rasilimali zetu za nchi mbona ndivyo zinavyochukuliwa na Wazungu hivyohivyo.
Ogopa kitu inaitwa mkataba
Hujanielewa mkuu, namaanisha kama Wana dhamana kubwa hivo kwann wasiende benki?Kwa iyo ukikopa benki ukashindwa lipa iyo nyumba ndio haichukuliwi
Kakuzingua Primu Mushi unalaumu wote vp tena bwasheealikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
We mangi kama wewe sio wa pale kiwosso sijui, una info za kutosha aisee mpaka kidumbuyo unamjua???Pole LDA company...and Associate....