Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Tufundishe mkuu Tumalizane ni nini?
 
rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar
Kwa nini usipige puli kwani kuwa na madeni lazima ? Kwa nini usikae porini kwani kuwa na nyumba ni lazima ? Kwa nini usitumie kificho kwani kubwa na smartphone ni lazima ? Binadamu tumeumbwa tupambane na maisha hayana huruma. Dunia ni tambara bovu.One mistake one goal,kaa ukijua hilo.Tafuta wazee wakufundishe maisha.
 
One B unajiita mnyonge.
Mlizipataje hizo pesa nyie watu? Au ni za kurithi ndio maana mnashindwa kuziendeleza mpaka mnachukulia mikopo mwisho mnatapeliwa.
Na mbaya zaidi hata kudai haki zenu hamuwezi.
 
Naomba niulize nikiweka nyumba collateral bank naruhusiwa kuiuza niwalipe bank ? Na kilichobaki nibaki nacho. Dunia imevaa kimini mjinga ndio mtaji wa mwenye mali.
 
kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
Mtu hakupigwa Risasi? Ishu iliishaje?
 
Naomba niulize nikiweka nyumba collateral bank naruhusiwa kuiuza niwalipe bank ? Na kilichobaki nibaki nacho. Dunia imevaa kimini mjinga ndio mtaji wa mwenye mali.
Fanya hivi! Chukua kiasi cha pesa unachodaiwa na bank kutoka kwa serious buyer,maliza mkopo wako na bank,alafu Chukua hati yako nenda malizana na mnunuzi wako!!
 
Matajiri wengi waliofanikiwa wanakopa bank tena hela ndefu. Ukipata Mhasibu mzuri kwenye biashara yako. Akakupikia vitabu vizuri yaani utakula mikopo ya bank mpaka basi. Kuna bosi wangu mmoja wa kichaga alikuwa anabembelezwa na CRDB achukue mkopo hata wa 2 billion. Ukiaminiwa na bank hauwezi kufilisika kamwe. Yaani ukisikia idea inalipa unawekeza fasta hela ipo nje nje. Hata huyu Mo yale mashamba ya katani alichukulia mkopo bank za nje. Nyie acheni kuna watu wameshaaga umasikini.
 
Unatumia kinywaji gani?? Umetoa kitu kizuri ambacho wajinga hawawezi kukuelewa
 
We kama hatoki nyumbani umemwonea wapi sasa?
Nimekuambia kuwa binti yake ndiyo mtambo wa hela kama huamini sikulazimishi. Ila ukisoma posts za watu kuanzia mwanzo utagundua kuwa analipa hela kati ya saa 12 jioni na usiku. Jiulize kwa nini?

Kama ni juhudi basi jaribu na wewe kama utamfikia
 
Acha uongo....primi mwenyewe humjui
 
Sio kweli. Hiv kwanini wanaume siku hiz mnakuwa waongo sana. Inakusaidia nini

Nimekuambia kuwa binti yake ndiyo mtambo wa hela kama huamini sikulazimishi. Ila ukisoma posts za watu kuanzia mwanzo utagundua kuwa analipa hela kati ya saa 12 jioni na usiku. Jiulize kwa nini?

Kama ni juhudi basi jaribu na wewe kama utamfikia
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…