Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Company inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...
 
Hizi zilikuwa dili pendwa za Marijani Msofe aka Papaa Msofe na mwezie Alex Massawe

Mkono wa JPM ulimnasa Papaa Msofe akafunguliwa mashtaka, ila Mamá alipoingia madarakani akafutiwa mashtaka,, yupo mtaani anajipanga kuendeleza alipoishia
 
IDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguz
 
mahakama imeweka stop order lkn haeshim maamuz ya mahakam mkuu wa mkoa pamoja na wair wote hawana msaada jamaa anaonga sana
Poleni sana, weka hapa mkataba mlioingia na primi Mushi tuuone usiogope humu kuna wanasheria na kila aina za watu wapi hapa, weka docs zote usiogope ndugu, ili tuchambue hapa na Tanzania iione DHULUMA HIYO.

HATA RAIS HUPITA HAPA.KAMA MNA HAKI HAKIKA HAITAWEZA KUPOTEA.

RAIS WETU SAMIA NI RAIS WA WANYONGE KAMA HAKI IPO MTAIPATA HARAKA SANA.
 
juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
 
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
 
Pesa mkononi 😄 biashara mbona ya kimafia sana hio wakiamua kukuzunguka si dk sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…