BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Basi mkataba mlisoma vibaya ulikuwa umeandikwa 'nyumba' siyo 'fremu'.kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mkataba mlisoma vibaya ulikuwa umeandikwa 'nyumba' siyo 'fremu'.kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
mahakama imeweka stop order lkn haheshimu maamuzi ya mahakama mkuu wa mkoa pamoja na waziri wote hawana msaada jamaa anaonga sanaBasi mkataba mlisoma vibaya ulikuwa umeandikwa 'nyumba' siyo 'fremu'.
Company inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Mushi/Msoffe/Massawe= matapeliHuyo ni mtafutaji asiyechoka. Ungeona Patel sijui ungefanyaje? Napo ungechoka au ungelegea?
Wana chanja gomba na totoz za kisomaliNyie waswahili kko punguzeni kukopa,hela yenyewe mkikopa
Mnaishia kufanyia harusi na miziki vigodoro
Ova
Makubaliano yapo kimaanishi? Kwamba atajilipa Kwa kuchukua fremu tajwa? Na si jengo zima?kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
IDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguzCompany inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Kukopa sherehe, kulipa matanga! Washauri ndugu zako kuacha kukopa bila ya sababu za msingi. Wakope kwa malengo.huko moshi nako malalamiko ni mengi tanga zile nyumba pale mjini za ndugu zangu wadinggo na wabondei keshamaliza arusha mjini nako malalamiko ni mengi
Poleni sana, weka hapa mkataba mlioingia na primi Mushi tuuone usiogope humu kuna wanasheria na kila aina za watu wapi hapa, weka docs zote usiogope ndugu, ili tuchambue hapa na Tanzania iione DHULUMA HIYO.mahakama imeweka stop order lkn haeshim maamuz ya mahakam mkuu wa mkoa pamoja na wair wote hawana msaada jamaa anaonga sana
juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mjiPoleni sana,weka hapa mkataba mlioingia na primi Mushi tuuone usiogope humu kuna wanasheria na kila aina za watu wapi hapa,weka docs zote usiogope ndugu.ili tuchambue hapa.na Tanzania iione DHULUMA HIYO.
HATA RAIS HUPITA HAPA.KAMA MNA HAKI HAKIKA HAITAWEZA KUPOTEA.
hii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabeTAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap
Pesa mkononi 😄 biashara mbona ya kimafia sana hio wakiamua kukuzunguka si dk sifuriCompany inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...